MAMBO NI MAMBO SASA WALE WATUMIAJ WA HA TUNNEL 🔥

 *STEPS ZA KUTENGENEZA HAT FILE NI SIMPLE KAMA UTA FUATA PROCEDURE ZIFUATAZO* 👇


1:ukifungua hatunnel yako kushoto juu kuna dash 3 utaz click itafungua option nyingi wewe utachagua 1 tu *PAY LOAN* 👈 hapo utafanya HV 

Uta  type *WWW freebasics.com* 


Chini yake setting inayofuata utaweka *set*

Badaya ya hapo option ifuatayo utachagua👉 *HTTP/1.1* 

THEN HVO VIBOX HAPO UTAWEKA ✅ kama ifuatavyo 


✅ *KEEP ALIVE*

✅ *USER AGENT*

✅ *ON LINE HOST*

✅ *FORWARD HOST*


*BAADA YA HAPO UTA APPLY* 


*THEN TUNA ENDELEA NA STEP 2* BAADA YA KU apply


*HAPO KWENYE PAY LOAN UKISHA FUNGUA OPTION YA KWANZA UTA TYPE WWW.FREEBASICS.COM*


*KWA SMALL LETTERS*

*CUSTOM SETTING UTA WEKA ON* *443*

THEN UTA *START* kama 8sec *UTA STOP*


BAADA YA HAPO CHAGUA *HTTP MODE*

WEKA TENA *FREE BASICS* KAMA HAITA INGIA AUTO


*UTA START MPAKA ISOME KBS USI STOP*


*BAADA YA HAPO TUNA ENDELEA NA HATUA YA MWISHO*


Kulia juu mwa hattunel yako utaona :👈3dot click


*CHAGUA OPTION YA EXPORT* THEN UTA ALLOW 

HAPA NDIO TUNA WEKA SETTING ZA FILE LAKO MFANO MMI NTAWEKA 👇


Chini kweny hzo setting utaweka


✅ *MOBILE DATA*

✅ *BLOCK ROOT*

✅ *SET EXPIRTY*

👆hapo KWENYE expirty utachangua hat file yako i tumike kwa mda gan yan ukomo wa tarehe


*HAPO MTAJIONGEZA KWENYE HZO SETTING MANA ZIPO MPAKA ZA KUWEKA PASSWORD*


HAPO UTAKUWA UME FINISH KULIA CHINI HAPO UTA EXPORT THEN UTA *STOP*


Kupata hat yako uta click 3:dot Kulia juu tena sahiii utachagua *IMPORT NENDA THEN HATUNNEL UTAONA FILE LAKO*


👆 *hyo nikwa hattunel plus*


Comments

Popular Posts